1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyama vya wafanyakazi bado vinatimiza wajibu wake?

30 Aprili 2024

Kwa karne kadhaa vyama vya wafanyakazi vimekuwa nguzo za kutetea maslahi yao mbele ya waajiri. Iwe ni mishahara, pensheni na marupurupu mengine. Lakini hivi sasa bado vinatimiza wajibu huo kikamilifu? Sikiliza maoni kutoka Arusha, Tanzania.

https://p.dw.com/p/4fMft
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio